MWONGOZO WA WALIMU KUJITOLEA, FURSA ZA AJIRA 2025.

MWONGOZO WA WALIMU KUJITOLEA, FURSA ZA AJIRA 2025.

Mwongozo wa walimu kujitolea, fursa za ajira 2025 umeandaliwa ili kutoa maelekezo ya namna ya kupata walimu wenye sifa stahiki  na kuwaajiri kwa mkataba wa kujitolea, kutoa taratibu za mafunzo, kupanga na kutoa maelekezo ya kutosha kitaalamu ili kazi zifanyike kwa ufanisi. Aidha, mwongozo huu unalenga kutoa maelekezo ya upatikanaji na walimu wanaojitolea na huduma zao ikiwemo posho, motisha na usimamizi wa nidhamu mahali pa kazi kwa kuzingatia masharti ya ajira za mkataba.

Inatarajiwa kuwa matumizi ya mwongozo huu yataimarisha ushirikiano wa wadau wa elimu hususani ungozi wa elimu, jamii na wazazi. Pia mwongozo utawezesha walimu wanaojitolea kutoa huduma stahiki za ujifunzaji na ufundishaji kwa kuzingatia matakwa ya elimu nchini. Hii itasaidisa kuatatua changamoto za ujifunzaji na ufundishaji na kuleta matokeo chanya yaliyokusudiwa katika elimu ya awali, elimu ya msingi, elimu ya sekondari na vyuo vya maendeleo ya wananchi Tanzania.

Malengo Mahususi. 

i. Kufanya ualimu wa kujitolea kuwa kazi yenye makubaliano mahususi kwa mujibu wa mwongozo huu.

ii. Kuongeza idadi ya walimu wenye sifa stahiki shuleni.

iii. Kusimamia utekelezaji wa majukumu ya kila ngazi inayohusika katika usimamizi wa walimu wa kujitolea.

iv. Kuongeza ufanisi wa mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji shuleni na katika vyuo vya maendeleo ya wananchi.

v. Kuhakikisha taratibu na maadili ya kazi ya ualimu yanayozingatiwa katika kutumia huduma ya walimu wa kujitolea.

Vigezo vya Walimu wa kujitolea.

Ili kuwa mwalimu wa kujitolea, mtu anatakiwa kuwa na:

  •  Sifa za kitaaluma zinazotakiwa kwa nafasi husika.
  • Uwezo wa kufundisha kwa ufanisi na kwa kuzingatia maadili ya taaluma ya ualimu.
  • Uwezo wa kufanya kazi kwa kujitolea bila malipo ya mshahara kila mwezi, ingawa posho na motisha zinaweza kutolewa kulingana na  taratibu zilizowekwa.

Mafunzo na Usimamizi.

Walimu wa kujitolea wanapewa:

  • Mafunzo ya awali kabla ya kuanza kazi ili kuwaandaa kwa majukumu yao.
  • Mafunzo ya mara kwa mara ili kuboresha ujuzi na maarifa yao.
  • Usimamizi wa karibu kutoka kwa walimu wakuu wa shule na maafisa elimu ili kuhakikisha wanafanya kazi kwa ufanisi na kwa kuzingatia maadili ya taaluma ya ualimu.

Faida kwa Walimu wa kujitolea.

Walimu wanajitolea wanapata:

  • Uzoefu wa kazi katika mazingira halisi ya shule.
  • Fursa ya kuonyesha uwezo wao na kujenga wasifu mzuri wa kazi.
  • Uwezekano wa kupewa kipaumbele katika ajira za kudumu zitakazojitokeza.

Hitimisho.

Mwongozo wa walimu wa kujitolea ni hatua muhimu katika kuhakikisha kuwa walimu wanaojitolea wanatambuliwa, wanapewa mafunzo na usimamizi unaofaa, na wanapata fursa ya kuchangia katika maendeleo ya elimu nchini Tanzania. Kwa wale wanaopenda kujitolea kama walimu, mwongozo huu unatoa mwongozo wa wazi na wa haki wa jinsi ya kuhusika katika sekta ya elimu.

MWONGOZO_WA_WALIMU_KUJITOLEA

balislot situs hk pools situs toto depo 5k slot gacor 5k sumseltoto situs toto rupiahbet balislot situs toto rupiahbet situs toto rupiahbet rupiah bet slot 5000 slot 5k kudahoki kudahoki rupiahbet slot gacor situs toto RUPIAHBET RUPIAHBET slot gacor slot gacor situs hk pools situs hk pools hk pools toto hk hk pools hk pools situs toto slot depo 5k slot depo 5k toto hk slot gacor hk pools rupiahbet situs slot gacor slot 5k rupiahbet slot thailand toto hk situs slot gacor slot depo 5k luminos.id situs slot mahjong toto slot rupiahbet slot 5k rupiahbet rupiahbet rupiahbet rupiahbet rupiahbet ladangtoto rupiahbet
slot gacor rupiahbet rupiahbet rupiahbetper rupiahbet rupiahbet rupiahbet sekalibet desabet desabet desabet desabet desabet desabet desabet desabet desabet desabet desabet desabet
  • hk pools
  • situs toto slot gacor slot gacor slot gacor bandar togel judi bola slot gacor slot777 slot gacor slot gacor slot gacor slot gacor slot gacor situs slot slot gacor slot gacor toto slot slot gacor situs toto
  • toto slot/li>
  • hk pools
  • bandar togel
  • slot gacor
  • slot gacor
  • rejekibet
  • hk pools
  • situs hk pools
  • toto togel
  • toto togel
  • toto togel
  • situs togel
  • toto togel
  • situs slot
  • Hongkong Pools
  • desa bet
  • slot dana/li>
  • toto slot
  • situs togel
  • slot gacor
  • slot gacor
  • situs togel
  • situs togel
  • toto togel
  • SBOBET
  • situs hk pools
  • slot gacor
  • toto togel
  • toto togel
  • kudamania
  • slot gacor
  • hongkong pools
  • slot gacor
  • situs toto
  • kudamania
  • slot gacor
  • situs toto
  • slot maxwin
  • situs toto
  • slot gacor
  • slot gacor