FORM SIX JKT SELECTION 2025: WALIOCHJAGULIWA JKT KIDATO CHA SITA

Form Six JKT Selection 2025: Waliochaguliwa JKT Kidato cha sita PDF, Majina ya form six (kidato cha sita 2025) Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mwaka 2025 Kujiunga na Mafunzo ya JKT Kundi la Lazima (Mujibu wa Sheria).

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetoa orodha ya wanafunzi wa kidato cha sita (Form Six) waliomaliza mwaka 2025 walioteuliwa kujiunga na mafunzo ya lazima kwa mujibu wa sheria (Kundi la Mujibu wa Sheria).

Historia Fupi ya Kuanzishwa kwa JKT

Chimbuko la JKT lilianza mwaka 1958 wakati wa ziara ya viongozi wa Tanzania nchini Ghana, ambako Mwalimu Julius Nyerere na Mhe. Rashid Kawawa (Simba wa Vita) walihudhuria sherehe za uhuru wa taifa hilo.

Katika ziara hiyo, Mhe. Kawawa alipata nafasi ya kujifunza kuhusu mfumo wa taifa la Israel ambapo vijana huandaliwa kwa mafunzo ya kijeshi kama njia ya kujenga uzalendo, nidhamu, na utii kwa taifa.
Mawazo haya yaliwasilishwa kwa Jumuiya ya Vijana wa TANU (TYL), na mnamo Agosti 25, 1958, mkutano mkuu wa TYL uliofanyika Tabora uliidhinisha kuanzishwa kwa mfumo kama huo nchini Tanzania.
Matokeo yake, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lilianzishwa rasmi ili kusaidia maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla.

insi ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa JKT Kidato cha Sita 2025

Ikiwa umehitimu kidato cha sita mwaka 2025, fuata hatua hizi ili kuangalia kama umechaguliwa kujiunga na JKT:

  1. Tembelea tovuti rasmi ya JKT:
    https://www.jkt.go.tz/current_ns_intakes
  2. Bonyeza kiunganishi cha kupakua orodha ya majina ya waliochaguliwa:                                                               KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA JKT 2025-download here
  3. Fungua faili hilo na tafuta jina lako au shule yako.

Taarifa Muhimu kwa Waliochaguliwa

Wanafunzi waliopata nafasi ya kujiunga na JKT wanapaswa kuzingatia yafuatayo:

Kuripoti kwa Wakati:

Wote wanapaswa kuripoti kwenye kambi walizopangiwa kwa tarehe itakayotangazwa rasmi.

Vitu vya Msingi vya Kuambatana Navyo:

  • Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au namba yake
  • Cheti cha kuzaliwa
  • Vifaa binafsi kama: nguo za michezo, shuka, sabuni, mswaki, na kadhalika

Onyo:

Mtu yeyote atakayeshindwa kuripoti bila sababu maalum anaweza kuwekewa adhabu ikiwemo kupoteza haki ya kushiriki ajira au fursa nyingine za serikali.

Wasiliana na JKT

Kwa msaada zaidi au maswali yoyote:

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
S.L.P 2963, Dodoma – Tanzania
 Barua pepe: info@jkt.go.tz
Simu: +255 26 2962078

Mafunzo ya JKT ni fursa muhimu ya kukuza uzalendo, kujifunza nidhamu, kazi za mikono, na kujiandaa kwa maisha ya baadaye. Tunawapongeza wote waliopata nafasi ya kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa mwaka huu, na tunawatakia mafanikio katika safari hii muhimu ya maisha.

KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA JKT 2025-download here

balislot situs hk pools situs toto depo 5k slot gacor 5k sumseltoto situs toto rupiahbet balislot situs toto rupiahbet situs toto rupiahbet rupiah bet slot 5000 slot 5k kudahoki kudahoki rupiahbet slot gacor situs toto RUPIAHBET RUPIAHBET slot gacor slot gacor situs hk pools situs hk pools hk pools toto hk hk pools hk pools situs toto slot depo 5k slot depo 5k toto hk slot gacor hk pools rupiahbet situs slot gacor slot 5k rupiahbet slot thailand toto hk situs slot gacor slot depo 5k luminos.id situs slot mahjong toto slot rupiahbet slot 5k rupiahbet rupiahbet rupiahbet rupiahbet rupiahbet ladangtoto rupiahbet
slot gacor rupiahbet rupiahbet rupiahbetper rupiahbet rupiahbet rupiahbet sekalibet desabet desabet desabet desabet desabet desabet desabet desabet desabet desabet desabet desabet
  • hk pools
  • situs toto slot gacor slot gacor slot gacor bandar togel judi bola slot gacor slot777 slot gacor slot gacor slot gacor slot gacor slot gacor situs slot slot gacor slot gacor toto slot slot gacor situs toto
  • toto slot/li>
  • hk pools
  • bandar togel
  • slot gacor
  • slot gacor
  • rejekibet
  • hk pools
  • situs hk pools
  • toto togel
  • toto togel
  • toto togel
  • situs togel
  • toto togel
  • situs slot
  • Hongkong Pools
  • desa bet
  • slot dana/li>
  • toto slot
  • situs togel
  • slot gacor
  • slot gacor
  • situs togel
  • situs togel
  • toto togel
  • SBOBET
  • situs hk pools
  • slot gacor
  • toto togel
  • toto togel
  • kudamania
  • slot gacor
  • hongkong pools
  • slot gacor
  • situs toto
  • kudamania
  • slot gacor
  • situs toto
  • slot maxwin
  • situs toto
  • slot gacor
  • slot gacor