TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI BARIADI

Welcome to Newslinetz.com, your go-to source for the latest news, trending updates, and in-depth stories from around the world. We are committed to delivering accurate, engaging, and timely content across a wide range of topics to keep you informed and inspired. Stay connected, explore new perspectives, and discover the stories that matter most to you.

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI BARIADI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi amepokea kibali cha ajira
mpya katika mwaka wa fedha 2023/2024 chenye Kumb.Na FA.97/288/01/09 cha
tarehe 25/06/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na utawala Bora. Hivyo, Watanzania wenye sifa wanakaribishwa kutuma
maombi ya kujaza nafasi za kazi kumi (10 ) kama zilivyoainishwa katika Tangazo hili.

1.0 MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III (NAFASI 04)
1.1 MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (NAFASI 03)
1.2. MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II (NAFASI 03)

CLICK HERE TO DOWNLOAD PDF